Simba watangaza mchezaji bora zidi ya mtibwa
Simba wamemtangaza Mchezaji bora wa mechi dhidi ya Mtibwa
Baada ya Mchezo kati ya Mtibwa na Simba, Kama ilivyokawaida ya Simba Kumpata mchezaji bora wa Kila mechi ambayo Simba Inacheza ya Kimashindano leo pia wamemtangaza mchezaji bora wa mechi hiyo.
Mlinzi wa Kati Paul Bukaba ndiye aliyetangazwa kama mchezaji bora wa mechi maarufu kama Simba App Man Of The Match.
Bukaba amecheza vizuri katika mchezo wa Leo na Kusahaulisha watu kabisa uwepo wa Erasto Nyoni au Juuko Murshid ambao walikosekana katika Mchezo wa Leo kutokana Na Kuwa na Kadi 3 za Njano.
Kupitia Ukurasa maalum wa Twitter wa Simba wameandika..

No comments: